FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Naona una furahaa unaita majina yote hayo
Unakosaje furaha kwa Watu wanaoongea kwa kejeli dhidi ya Yanga SC hata waimba singeli na taarabu wakasome [emoji28]
JamiiForums258363410.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sema kuna mashabiki wa yanga ni wachawi sana, nimesikia kuna maeneo watu wanashangilia kwa kishindo nikajua simba, kuangalia kumbe wydad nikasema kumbe kuna watu huwa wanashangalia kufungwa kwa wapinzani wao wazi wazi hivi
Tuliyoyaona uwanjani last weekend Vs Ahly nilipanga kulipiza leo. Of course, nilipo nimeshangilia sana.
 
Back
Top Bottom