Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
Role model ana ongoza kundi safi sana [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Role model ana ongoza kundi safi sana [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Ndo hivyo ndugu yangu tushaumizwa tuangalie mechi zijazo huenda mambo yakawa mazuri kwetuKuanzia dkk ya 65 team ilianza kucheza kwa kuzuia na kuruhusu mashambulizi golini kwetu, nilijua tyuuh hizi faulo na kona zitatuumiza, ndo kilitokea.
Yaan inaumiza had Co poaa, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ninyamaze nini, wakati mimi nakoti maneno ya madunduka, au kwa kua sijaweka alama hii ". " ?Bora unyamaze tu
Kwani wewe ni Mkibosho Mkuu?Aiseeee kolo nyawa nka wa wydad ( maanake kolo ameolewa na wydad kwa lugha ya kijerumani )
Mwambie huyohuwa sioni mantiki ya kuita team mbovu huku imewafunga na ikaondoka na point mbele yenu..!!
Tokaaa hapaa..babe sorryy
Naskia kibu karudisha goliTokaaa hapaa
Emu huko nawee, mfyuuuhKunywa maji ya vuguvugu upumzike kwny kivuli, utapata unafuu
AiseeMnyama anashinda
Simba lazima achomoze na ushindi mnono wa bao 3 na point 3 muhimu. Kila la heri mnyama unapokwenda mawindoni hapo Casablanca.
😁😁😁nitakuambia siku nyingineKwani wewe ni Mkibosho Mkuu?
Nisome vizuri Uto mwenzangu.Kolo kunywa maji ya vuguvugu ulale chali kivulini upooze machungu ya bao 1 kwa nunge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
unasemaa? situlikubaliane mwalimu afwate mfumo wa chama??Kocha tunaye,wachezaji ndo hamna, inabidi timu isukwe waachwe kina chama,Onana,Kapombe,Miquison.
Yaani chama hana spidi anakimbia kama baiskeli inayoshikwa breki na kuachiwa kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app