FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Ingekua Mimi mwandishiii ningeandika ivi a.....atima maji yamejitenga na mafuta nani alisema wydad wabovu..wee zakaria umepgajeee apo
 
Yaan Simba ivuke makundi? Thubutuuu.
Nafas ni Wydad na Assec
Wydad ana mechi moja nyumbani (Asec) uhakika point 3 jumla atakuwa na 6
Simba ana mechi mbili nyumbani (Wydad, Jwaneng) uhakika point 6 jumla atakuwa na 8
Asec ana mechi mbili nyumbani
(Simba, Jwaneng) uhakika point 6 jumla atakuwa na 13
Jwaneng ana mechi moja nyumbani (Wydad) uhakika point 3 jumla atakuwa na 7
Sasa nani mwenye uhakika wa kufuzu? Achilia mbali matokeo mengine yatakayotokea kimpira. Kifupi ni kwamba mechi za mzunguko wa 4 ndiyo zitatoa picha kamili ya wanaofuzu na wanaotoka.
 
Kundi la simba,simba atapita,atamfunga wydad home , jwaneng home
Nyie makolo kwa kucheza Mpira wa mdomoni wa rank za CAF na hesabu za kijiweni hata Madrid mnaipiga 10 bila!
Huwa hamkubali kuwa boli lile la miaka ile lishaenda jengeni timu upya!

Ile 5G ilikuwa alert call!

Kweli mbumbumbu hata umpigie vuvuzela masikioni kamwe hatoamka!

Nani Yuko mkiani Sasa haya na tuseme kwa pamoja Thimba Guvu Moyaaaaaa!!!
 
20231210_072124.jpg
 
Mbona Mimi sio mfatiliaji sana wa mpira lkn najua Simba Ina tatizo.

Nyie wanasimba wenzangu mnaofatilia mpira za ndan na nje .

Mnabet na kubet.


Mnawezaje kudhan Simba hii itafika mbali???.


Huo ni ushabiki wa kikuma
Ww ni mimi mkuu,simba hatuna timu ukilinganisha na wenzetu utopolo
 
Imeniuma sanaa
Dakika ziliongezwa 3,Waydad wanapata goli Dakika ya 95!
Ina Maana refa alikuwa na Dakika zake 5!
Inaudhi sanaaa…
Ila Kuna lakujifunza wakija Dar es ssalaam.
 
Yanga wametuletea gundu..kwenye club Bingwa...
😆 😆
 
Back
Top Bottom