Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Wewe ukiona goli lolote Simba wakifungwa ujue onyango kachoma.Yote mangapi ?..
Wakimparamia kama wamegonga ukutaKibu anawalaza mabeki na viatu mabeki wa Wydad, hakika hawatomsahau
Yanga leo hawachezi bosiInonga mmoja ni sawa na akina defence nzima ya Yanga
Inshaallah...Walah Nasemaje Labda tu Bahati Iwe Yao Hii game tunatoboa.
Acha wapigane tu maana ni wakorofi mno hao watu,Waarabu wanataka kupigana wenyewe kwa wenyewe
Yani kila kwenye goli la kipumbavu Onyango anahusika, yaleyale ya Maguire kwa Man Utd.Mimi nalia Na onyango kwann alikuwa analia Akiwa Bench?
Kila mtu anatamani hivyo shida ni kelele na vikao, wakifuzu hututakaa kwa amani kabisa wataichambua nusu fainali mpaka 2030Pamoja na unazi wangu, natamani sana simba wafuzu round hii.
Mji utakuwa kimyaaaaa mambo ni waarabu tu 😍😍😍😍Wameanza vizuri kuelekea kutupunguzia kelele mjini🤣🤣🤣🤣