Simba haina beki fast mwingine kama inongaOnyango Atai cost team
Asirudi uwanjani
πππOnyango akaguliwe anaweza akawa na mkeka huyu mfukoni (amebet)
Tuwe wakweli, kwa sasa hakuna mbadala wa Onyango pale simba!!Kocha angekuwa anasikia maoni ya sisi washabiki angemtoa Onyango
πππhatuna kipa
Nani anacheza kibwege?Ucheze na yanga kibwege hivyo akuache