Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba haina beki fast mwingine kama inongaOnyango Atai cost team
Asirudi uwanjani
😆😆😆Onyango akaguliwe anaweza akawa na mkeka huyu mfukoni (amebet)
Tuwe wakweli, kwa sasa hakuna mbadala wa Onyango pale simba!!Kocha angekuwa anasikia maoni ya sisi washabiki angemtoa Onyango
😆😆😆hatuna kipa
Nani anacheza kibwege?Ucheze na yanga kibwege hivyo akuache