Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
Mkuu ukiona huyu refa yupo fair kweli!!!Fitina gani miaka hii mkuu? Siku hizi kila timu inajitegemea kuanzia usafiri,hotel na mambo yote...... Timu bora inashinda popote....haya unayoyasema yalishapitwa na wakati
Refa yupo fair kabisaIla huyu refa ni msengerema
Wanataka kupigana wao kwa wao
Ni wewe huyo kwenye avator?Kwani nafasi ya onyango haina mbadalaaa
Jicho nyanya ππ€£π€ΈKibu keshavuta bangi zake,
Yaani nawashangaa wanailinganisha Simba na team zao kana kwamba wako level moja kumbe Simba ni lidude flani hivi linalowakosesha raha waarabuSimba timu kubwa sana hapa Afrika.. pamoja na fitna zote lakini Mnyama anadhihirisha ubora wake barani Afrika.... Kila la kheir Simba
Eeh..Mrembo !! izo heels si zenu hizo mmemwazima?Mkaka wa mikia kishavurugwa yuko na high heels πππππππ»ππ»ππ»View attachment 2603007
Onyango ametaka kutuuza tena.
Mnacheza na Wydad sio YangaInonga mmoja ni sawa na akina defence nzima ya Yanga
Mungu Ana kazi nyingi nkamuMungu tusaidie tupite[emoji1545] maana mji tutauona mchungu
Bila unazi uto wangekuwa na threat zaidi kuliko nyie mnao uogopa mpira [emoji28][emoji28]inshort mme poteanaHapa Uto wangeshapigwa 3 kwa boli hili labda uwe shabiki maandazi. Jaribu kufananisha game ya Rivers Vs Yanga na leo! Totally different [emoji4]
So far timu inachez vizuri,nimeridhika
Litoke wapi?Tukipata goli Moja tu Hawa Waarabu feki wanapoteana
Mmeanza kumsingizia onyango WTFKosa la Onyango tu ila tumewamudu mpaka Sasa na wanafungika.
Nawaombea sana Timu yangu Simba !!.