FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Onyango muda wwt anachoma. ..atafutwe beki anaetulia mguu wakushoto acheze na Enonga watakua na mpira mzuri sn
 
Kuifunga Simba sio jambo dogo

Hapa ni mfungaji wa bao akishangilia
FB_IMG_1682701833366.jpg
 
Hii game ilikuwa siyo ya kupoteza kipindi cha kwanza, tumefungwa goli kutokana na ujinga ambao hauvumiliki kabisa tena (baada ya ule mbele ya Raja)

Wydad hana mpira wa kumtoa Simba Sc ni wa kawaida sana, ila kwa huu upumbavu wa Onyango, Saidoo na Chama tutatoka.


Plan ya kocha umefanya kazi vizuri, hana lawama zozote za kubeba hata kama tutatoka.
 
Sjui nitoe njee,sjui nibutue mbele, sjui nimtie chenga, mara sjui nidake tu huu mpira🤣🤣. hakili ya huyu mzee Game kama hiz hua hazichaji kabisa ana Daka wenge mnoo.
Sio sir onyango ni mzuriii Sanaa ila sio Kwa wechzaji wenye kasii kama Hawa
 
Simba timu kubwa sana hapa Afrika.. pamoja na fitna zote lakini Mnyama anadhihirisha ubora wake barani Afrika.... Kila la kheir Simba
Yaani nawashangaa wanailinganisha Simba na team zao kana kwamba wako level moja kumbe Simba ni lidude flani hivi linalowakosesha raha waarabu
 
Hapa Uto wangeshapigwa 3 kwa boli hili labda uwe shabiki maandazi. Jaribu kufananisha game ya Rivers Vs Yanga na leo! Totally different [emoji4]
Bila unazi uto wangekuwa na threat zaidi kuliko nyie mnao uogopa mpira [emoji28][emoji28]inshort mme poteana
 
Back
Top Bottom