Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
Mkuu ukiona huyu refa yupo fair kweli!!!Fitina gani miaka hii mkuu? Siku hizi kila timu inajitegemea kuanzia usafiri,hotel na mambo yote...... Timu bora inashinda popote....haya unayoyasema yalishapitwa na wakati