Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Hamna timu basi tu... Simba hapa ndio tunajutia kushinda goli moja nyumbankuna watu niliwaambia humu wydad hawana maajabu wakabisha
Hayo yashapita....tukomae na yaliyopo mkuuLaiti game ya Daresalama tungeshinda 3-0 basi saa hizi ingekuwa tafrijaView attachment 2603057
[emoji2]kumbe tuna goli na hamsemi jamaniKwenye redio Simba 1
Naona simba mshapata cha kujitetea..refa
Sure!Tukienda kwenye mtuta ni lazima tutoke, hatuna wapiga penalty, hatuna kipa.
Mungu yuko na Ukraine kwnye vita huko embu wacha kumsumbua kisa ndugu zake onyango😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nipo hapa namuombea kwa Mungu..!!
daraja la ushuziSijui Ila Kiukweli Kuna Daraja Tumeliweka Apa Leo, Daraja Kubwa tu.
Yan na huyu refa wao wa mchongo n hatari.Muda hauendi kabisa.
[emoji23][emoji23]
Hapana bali tutapiga 1 na kuwa mbele kwa 2-1Tunapigwa 2-1