FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Huu muda wa hiyo mechi uangaliwe upya,kuna hujuma tunafanyiwa mashabiki wa simba.Wameweka mechi mida ya wanga ili tusione tunavyomtoa kisusio mwarabu.sijapenda.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Uzalendo kwanza!
Kwa mechi zinazoitambulisha Tanzania nje ya mipaka yake!
......UCHAWI NI TABIA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…