Kiufupi Onyango is hopeless na ni scam . Ifike pahala sasa kama
Kweli simba inataka kufika mbali , iachane na hawa wachezaji wa TIA maji tia maji
Tukubali kwamba Simba haina improvement , kwa miaka 5 SSC anafika Robo fainali ima shirikisho ima ligi ya mabingwa...... kwa miaka 5 hiyo hajawahi kuvuka hiyo hatua, what do you think ?
Ni mambo ya hovyo, kama Yanga asingekuwa kwenye hatua ya kwenda nusu fainali, basi tungeaminishwa tena this is big achievement.......tunaona wote kuwa this is not big achievement..... Yanga anakwenda kuandika historia MPYA
Simba mjitafakari
Yanga TIA maji TIA maji , anakwenda nusu fainali however hakuwa na path ngumu ..... but it does not matter .
Hii mambo ya kufa kiume ni ujinga, ukiangalia game Dar , ni ubinafsi na lack of team work zimewaponza
Sioni improvement kwa sababu miaka 5 mfululizo huvuki hiyo hatua, unawezaje kusema kuwa you are learning !
Tukubali kuwa hatusajili wachezaji wanaoweza kutuvusha hatua ya robo fainali,tunachoweza sisi ni makundi tu kwenye point,
Knock-out hatuziwezi...... hatuna wachezaji wa knock out tulione hili.
Nilisema hakuna mambo ya Inshallah inshallah, Mpira ni plan na investment
Mfano mtu kama Chama , Onyango , Ntibanzoka...:..banda etc etc.... hivi unawezaje kuwaza kutoboa kimataifa na wachezaji kama hawa . Haiwezekani..... tumewatumia hawa muda wote hawajawahi kutuvusha..... tulione hili
Kuna mtu yoyote anajua kwanini Sub ya Phiri imechelewa..