FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Mm Nina deni n Chama.
 
Penye ukweli kuwa wazi, hii level Yanga alitolewa na Al hilal hata makundi hakuingia

Kuhusu huko shirikisho, km simba angekuwa huko kwa team za mwaka huu, angefika final na kuchukua kombe.

Mmeanza story za kusadikika sasa [emoji23][emoji23][emoji23] ebu ugulia maumivu taratibu basi mtan [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…