FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Commentary ya kiingereza ni nzuri kuliko hawa wabongo wa Azam tv wanaojisifia sehemu walizozaliwa
 
Daah huyu refa ananisikitisha sana, ni nini hiki anachezesha?
 
Simba ijitahidi sana kuzuia mashambulizi wa wydad kupitia pembeni...waarabu mpira wao ni cross tu
 
Leo tumeshinda uzi umekuja kwetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado ushindi wa pili [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126] mods nawapenda [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Bantu lady upo , kama umeadimika hivi!
 
Back
Top Bottom