FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Kipa wa simba ana kimbia mipira [emoji81][emoji81][emoji91][emoji91] kuna utofauti mkubwa kwa wapiga penalti wa simba na wydad.waarabu watulivu wala hawana pressure
 
Tumekubali tumetolewa kwa penalt, vijana wamejitahidi bahati haikuwa yetu.
 
Ila penati wale unaowaamini ndio wanakosa, sijawahi kumuona Kapombe akikosa penati tokea nianze kutizama mpira.
 
Once a red, always red
3567CA62-E8E8-4B5A-914B-3063BCD6164B.jpeg
 
Back
Top Bottom