Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AahaaaaaNdio maana mimi nataka niibuke majuu ,Morroco na Aljeria kuna watoto wazuri balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AahaaaaaNdio maana mimi nataka niibuke majuu ,Morroco na Aljeria kuna watoto wazuri balaa.
Tusilaumu sana mkuu lile goli ni kubwaKipa kwa nini hajajiongeza kuruka upande wake wa kulia!
Penati zote kasoro moja zimepigwa kulia kwake huku yeye akibahatisha kuruka kushoto kwake...
Na yatajibiwa tuHizo zitakuwa kelele sio maombi.
Mpira haupo hivo...Inawezekana ikawa nje ndani kabisa
AahahaaaaaHongera makolo kwa kutetea kombe lenu la robo fainali
Kwani nyinyi hamkupata nafasi ya kushiriki haya mashindano (CAFCL), kama mliipata ilikuwaje?Heshima gani?
Kipa kwenye penati , hakuwepo !!.Mimi nilijua mapema kuwa hatuna kipa wala wapiga penalty, na sidhani hata kulikuwa na maandalizi ya kucheza penalty.
Tumetoka.
Kwa ukubwa na ubora wa Wydad Simba amekaza vya kutosha wanastahili pongezi.
Nguvu moja babake[emoji123][emoji123]
😔😔Naomba ulale tafadhali😆😆😆😆
Simba ktk penat hawapo vzr kbs. Yn mm nilivoona tu ni penat nkajua tushatokaMimi nilijua mapema kuwa hatuna kipa wala wapiga penalty, na sidhani hata kulikuwa na maandalizi ya kucheza penalty.
Tumetoka.
sema WAMETESEKAWametoka kiume
Kocha ni msenge tuu,alishindwa kufanya Sabu dakika 10 kabla Waarabu walipokuwa wamechoka?
Huu ni uongo uliotukuka.Ndembendembeeee