Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kila la kheri chama langu toka utotoni mpaka utu uzima huu Yanga Africa. Nakuombea kheri mechi ikawe salama mwanzo mpaka mwisho. Mungu atuepushe na majeraha na hila mbaya za kupangwa. Amina
All The Best Yanga 🟢🟡🟢🟡🟢
All The Best Yanga 🟢🟡🟢🟡🟢