FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Kila la heri mwananchi.

Ah, au basi tu, lolote liwakute, mashabiki hawa vyura wana kamudomo sana.
 
Mimi ni mpenzi na shabiki wa Yanga, sio wa Hersi wala Gamondi.

Sina ndimi mbili za kutema moto na barafu, viongozi wakifanya maamuzi ya hovyo nitasema waziwazi kama ambavyo nimesema Hersi alifanya uamuzi wa kipumbavu kumuondoa Gamondi tukiwa tunakabiliwa na michuano mikubwa.

Timu yangu Yanga naipenda daima, and of course tunashinda hii mechi na kutinga hatua inayofuata.
Inshallah

Sema wallah wabillah taufiq
 
Leo ndio tunaenda kumalizia kichaka cha mwisho ambacho mbutembute wamejifichia .

Yaani mwarabu analiwa na kichaka kinafyekwa leo
Yanga 4
Mwarabu 0
 
Huku ni Kwa wanaume .....makolo wabaki kombe la kina mama
Gusa achia tukaage CAFCL leo, Uto ni wababe & wamama watakaoshenyetwa na kurudi NBCPL kugombania nafasi ya 2&3.

Tuliza komwe dogo hilo kombe lina wenyewe...

Utaoga na kuvaa nguo mpya lakini mjini huendi 🐸wahed
 
Back
Top Bottom