Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Tatizo la utopolo mnacheza kwa ajiri ya kumkatikia mauno simba in the name of maringo na masimango.Dar yanga Africa mbele kwa mbele
Tunaenda kufyeka kichaka kingine walichojificha kolo wizard
Sasa Nifah bado upo na gamond au upo na said
Gusa achia twende kwao
Mwiko unafanya nini huko nyuma?Kila la kheri Yanga. Daima mbele, nyuma mwiko.
Tulishavuka huko, mtani gani unamfunga mara 4 mfululizo.??Tatizo la utopolo mnacheza kwa ajiri ya kumkatikia mauno simba in the name of maringo na masimango.
Gusa achia tukaage CAFCL, leo ndio mwisho wa safari yetu ya kudandia tusiyoyawezaGusa. Achia. Twenda kwao