FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Kikosi cha Yanga leo
IMG_20250118_150543.jpg
 
Kabisa ile ndiyo ilikuwa game ngumu hizi hii ya leo mimi najua tutashinda ila sijui tu ngapi
Aziz akiamka vizuri alooh leo wanapigwa nyingi .

Ubora wa yanga upo kwa aziz ki
Watakaofunga ni wengine kabisaa maana huyo na Mzize watachungwa mno labda apate faulo au tuta..
 
Gusa. Achia. Twenda kwao.

Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.

Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali.

Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za karibuni lakini MC Alger nae akiwa na rekodi ya kutopoteza mchezo akiwa ugenini msimu huu.

Mechi hii ya aina yake itapigwa saa 10:00 jioni

Kila la heri kwa Mabingwa wa Tanzania, Taifa lipo nyuma yenu.
Weka vikosi basi
 
Back
Top Bottom