vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Sijui aliumia lini ila nilipata taarifa kuwa hakufanya mazoezi na timu, ila jana ndio aliungana kwenye mazoezi pamoja na timu.Aliumia lini, au mazoezini maana mechi ya Mauritania alikuwa fresh...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui aliumia lini ila nilipata taarifa kuwa hakufanya mazoezi na timu, ila jana ndio aliungana kwenye mazoezi pamoja na timu.Aliumia lini, au mazoezini maana mechi ya Mauritania alikuwa fresh...
Haya ndio mambo ambayo huwa yanagharimu timu.Kwamba mwalimu kamtoa sadaka Musonda kumlinda Pacome ama ni vipi?
Yanga huwa wana bahati mbaya sana ya kupata majeruhi ambao ni key players kwenye mechi muhimu.Pacome alikuwa majeruhi inawezekana hata fitness ya kuanza
Watapigwa kama Ngoma.hahahaha walitanguliza bahasha kwa ibenge leo lolote liwakute
Hawakutumea kusajili wazee.... Kwanza kalengo Kai ni makundi.Yanga huwa wana bahati mbaya sana ya kupata majeruhi ambao ni key players kwenye mechi muhimu.
Makolo mtalala vibaya sana kwa maumivu leoHakuna ushindi wa kiofisi kama Kwa ibenge.....YANGA OUT...... shwain.
Wait and see😒😒Watapigwa kama Ngoma.
Tunashinda hiiNdio
Kam kauwaa Kam dauwaaTunashinda hii