FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Game plan ya mwarabu leo ni kupoozesha mpira na kutumia vizuri nafasi chache zitakazopatikana.

Pacome alitakuwa kuanza maana jamaa kiulinzi watakuwa tight sana, unahitaji mtu mwenye uwezo wa kupenya. Wakija kumuingiza baadae itakuwa wamechelewa.
 
Yanga hashindi ukibisha weka hiyo
20250117_114644.jpg
 
Nawaona mashabiki wenye nchi yetu wakiwa na hamasa ya kushangilia ushindi
 
Back
Top Bottom