FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Muosha huoshwa, mwangalie Diarra timu yake ikiwa inaongoza anachofanya.
 
Sio Shirikisho tu.Simba alishawahi kuongoza Group la Champions League likiwa na Al Ahly,Simba,As Vita na El Mereikh .
tunaijenga timu na kupata uzoefu zaidi kimataifa,kaeni kwa utulivu
 
Chadrack Boca anachakujifunza kutoka kwa Shomari Kapombe.

Sio kila mpira ni kupiga cross tu na sio kila mpira nikukimbia bila kuingia kuelekea kwenye box la 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…