FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Binafsi nahisi hii mechi imechezwa Kwa takribani dk 40 tu....!! Warabu wamelala mara nyingi sana kuliko hata idadi ya mipira waliorusha, na kila wakilala zinakatika dk angalau 2.

Hawa jamaa itabidi Caf waangalie kukomesha hii tabia Yao, ni Tabia ya ovyo sana sio ya kiuanamichezo.
Muosha huoshwa, mwangalie Diarra timu yake ikiwa inaongoza anachofanya.
 
Sio Shirikisho tu.Simba alishawahi kuongoza Group la Champions League likiwa na Al Ahly,Simba,As Vita na El Mereikh .
tunaijenga timu na kupata uzoefu zaidi kimataifa,kaeni kwa utulivu
 
Back
Top Bottom