Kamdomokinini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamdomokinini
Ni kweli mzee.Yanga haikufungwa!
sawa "luza",utakula ulikopeleka mboga😅😅Nimelikumbuka tu baada ya mechi
Njoo ujifunze namna ya kuutumia uwanja wa mkapa leo toka kwa Lunyasisawa "luza",utakula ulikopeleka mboga😅😅
Daaah aseeeTuondoke hapa leo siku mbaya kazini
Nafikiri amepata somo.Njoo ujifunze namna ya kuutumia uwanja wa mkapa leo toka kwa Lunyasi
Muosha huoshwa, mwangalie Diarra timu yake ikiwa inaongoza anachofanya.Binafsi nahisi hii mechi imechezwa Kwa takribani dk 40 tu....!! Warabu wamelala mara nyingi sana kuliko hata idadi ya mipira waliorusha, na kila wakilala zinakatika dk angalau 2.
Hawa jamaa itabidi Caf waangalie kukomesha hii tabia Yao, ni Tabia ya ovyo sana sio ya kiuanamichezo.
usirudi nyumbani,baki huko hukoNjoo ujifunze namna ya kuutumia uwanja wa mkapa leo toka kwa Lunyasi
Niko busy na mkutano mkuu wa Chama DomNafikiri amepata somo.
😉😉😉😉😉😉😉😉😉Kila la heri timu ya wananchi
Muongo umeshajifunzaNiko busy na mkutano mkuu wa Chama Dom
Mkutano umeanza leo?Niko busy na mkutano mkuu wa Chama Dom
hakuna jipya,hata Sisi tuliwahi ongoza kundi shirikishoMuongo umeshajifunza
Umeanza Jana Ila Leo ndio kulikuwa na agenda sensitiveMkutano umeanza leo?
hakuna jipya,hata Sisi tuliwahi ongoza kundi
Sio Shirikisho tu.Simba alishawahi kuongoza Group la Champions League likiwa na Al Ahly,Simba,As Vita na El Mereikh .hakuna jipya,hata Sisi tuliwahi ongoza kundi shirikisho
Klabu bingwa vipi mmeshawahi kujaribu kuongoza?hakuna jipya,hata Sisi tuliwahi ongoza kundi shirikisho
bado tunaijenga timu hasa kimataifa,huko tutafika tuKlabu bingwa vipi mmeshawahi kujaribu kuongoza?
tunaijenga timu na kupata uzoefu zaidi kimataifa,kaeni kwa utulivuSio Shirikisho tu.Simba alishawahi kuongoza Group la Champions League likiwa na Al Ahly,Simba,As Vita na El Mereikh .