Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Safi sana leo umekuwa na akiliIla Yanga ni watu wa Jihad Sana tangu kitambo. Leo labda bahati isiwe kwao... Lakini wamepania kweli kweli.
Wapo radhi roho ziwatoke lakini lazima washinde hii gemu.
Kabisa ile ndiyo ilikuwa game ngumu hizi hii ya leo mimi najua tutashinda ila sijui tu ngapiGemu ngumu ilikua ya Ibenge hii imeisha utakuja hapa saa kumi na mbili...
Mfumo gani huo mkuu mbona kama kinyume nyumeKikosi cha Yanga leo View attachment 3205339
Sofa score hawajawahi kuwa serious, kuna siku niliona wameandika goli la Namungo limefungwa na Fabrice Ngoma nikachoka.Mfumo gani huo mkuu mbona kama kinyume nyume
Watakaofunga ni wengine kabisaa maana huyo na Mzize watachungwa mno labda apate faulo au tuta..Kabisa ile ndiyo ilikuwa game ngumu hizi hii ya leo mimi najua tutashinda ila sijui tu ngapi
Aziz akiamka vizuri alooh leo wanapigwa nyingi .
Ubora wa yanga upo kwa aziz ki
Weka vikosi basiGusa. Achia. Twenda kwao.
Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.
Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali.
Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za karibuni lakini MC Alger nae akiwa na rekodi ya kutopoteza mchezo akiwa ugenini msimu huu.
Mechi hii ya aina yake itapigwa saa 10:00 jioni
Kila la heri kwa Mabingwa wa Tanzania, Taifa lipo nyuma yenu.
Chenyewe hiki?
Kwamba mwalimu kamtoa sadaka Musonda kumlinda Pacome ama ni vipi?Chenyewe hiki?
Pacome alikuwa majeruhi inawezekana hata fitness ya kuanzaKwamba mwalimu kamtoa sadaka Musonda kumlinda Pacome ama ni vipi?
Aliumia lini, au mazoezini maana mechi ya Mauritania alikuwa fresh...Pacome alikuwa majeruhi inawezekana hata fitness ya kuanza
Nipo humu mzee naomba unioneSafi sana leo umekuwa na akili
NdioChenyewe hiki?