Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Yanga wameshachoooooookaWaarabu wako vizuri sana kwenye box lao, kila mmoja ni chuma hapiti mtu wala mpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wameshachoooooookaWaarabu wako vizuri sana kwenye box lao, kila mmoja ni chuma hapiti mtu wala mpira.
Akili inahitajika hapa ...We pray for miracle 🙏 yaan qualities ya yanga ime balance ⚖️ na MCA so the only thing ni MIRACLE pekeee
We pray for miracle 🙏 yaan qualities ya yanga ime balance ⚖️ na MCA so the only thing ni MIRACLE pekeee
Hapana naona Kuna Goli KabisaaHuu mpira sioni mwarabu kakaza😬
Asiposhinda nakupa 10KYANGA HASHINDI AKISHINDA NAKUPA 10K
Naangalia mechi mwenyewe sebuleni kwangu..Ngoja tuone ase
DealAsiposhinda nakupa 10K
Nani atafungwa?Hapana naona Kuna Goli Kabisaa
Wacha tuoneHapana naona Kuna Goli Kabisaa
Mbishi sana yule kochaHapa ndipo umuhimu wa kocha bora unapohitajika, mpaka sasa awe ameshausoma mchezo afanye sub tumalize mchezo.