FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

Hakuna updates zozote? Hakuna timu iliyo ona goli la mwenzake? Nipo mbali kidogo na TV
 
Kinachonihuzunisha ni kuwa Uto wamepotea kabisa hapa jukwaani na hata siku ya mechi yao inabidi watu wa Simba ndio tuwasaidie kuwafungulia uzi na kuleta updates.
1619371314269.png
 
Ila Mukoko anafaa kuwa captain
 
Azam wanapata kona, kona ya pili
 
Back
Top Bottom