FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

Azam wanaanza mshambulizi ...Lyangaaaa anababatiza na unakuwa wa kurushwa
 
Saido anawekwa chini... free kick dk ya 31
 
Hii mechi matokeo ya nje ya uwanja Yanga watafungwa ama draw ndo maana mashabiki wa Uto wapo kimyaa, kuanzia mitaani mpaka kwenye mitandao.
 
Carinhooo.... anajiandaa kupiga fauloo
 
Kocha wa yanga analalamika kwa vijana wake
 
Free kick yanga....mwenye kick zake wa Angola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…