FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

Mechi ya leo Nitatengeneza funny clip youtube kwa jina la

Funny football match 2021
 
Dakika ya 41, Sapong anajiangusha wanapewa fauloooo
 
Sema mikia hii mechi wameingiza miguu yoote.
 
Wanajiandaaa kushangiliaa Yanga
 
Mambo sio mambo kwa pande zote mbili...
 
Jaribiooo zuriiiiiiiiiii unagongaa mwambaaaaaa
 
Back
Top Bottom