Kwa kweli buku yangu ya kibanda uzima ni hasara tu
Mpira hauna mbinu bora liendeeAu nisiende nn?
Acha simu nyumbani, kuna mashabiki wa timu fulani wanahistoria ya wizi wa simu.Ngoja na mie nisogee kibanda umiza nione h
Na ingerushwa kwenye chaneli ya cinema zetu kuepusha gharama za kulipia sports HDHii mechi wangecheza asubuhi kuepusha bill ya umeme
Hamkosagi lawama nyinyi.Sema mikia hii mechi wameingiza miguu yoote.