FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

Kipaa anachezaa vizuriiiii
 
Kucheza anacheza Azam wanaopata moto Mikia fc.
 
Wote Azam na Utopolo hawana hadhi ya kushindana kimataifa, ni level sawa tu na Namungo

Msimu ujao kimataifa tusiwe na matumaini yoyote kwa hizi timu, wakifika group stage itakuwa miujiza
 
SIMBA 10:2
"hata jobo aliposikia habari za tshabalala, akagoma kabisa kutua bongo.

SIMBA 10:3
ikasikika sauti ya gomes ikisema, tshabalala apewe mkataba wa milele simba na ajengewe sanam la heshima kwa kulinusuru taifa na madhara ya kimbunga jobo.
 
kipindi cha pili kimeanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…