Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Alitoka nje n kwenda kupiga chenga ambapo mpira ukamshinda akautoa njeDogo anajitahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitoka nje n kwenda kupiga chenga ambapo mpira ukamshinda akautoa njeDogo anajitahidi
Azam nguvu nyingi ila tukampiga, we kwA namungo hutoboiPunguza kubeti. Kubeti si kazi wala ajira.
Utopolo mnapumulia mashine, Azam anashika shika kalio huko.
Tunawahitaji Utopolo fainali ili tujipigie tu
Kwani anacheza nafasi ya beki? Wewe unaona kabisa wachezaji wa Yanga wanajikanyaga kanyaga tu wanaacha mipira. Unategemea mpira utafikaje mbele?Mpaka saizi sijamuona kugusa mpira
Kwamba mauya kajiangusha, ama unaleta ushabiki tu mkuu.Ni Kama Wachezaji wa Utopolo Wamegundua weakness ya Refa kuwapendelea...hivyo Wanajiangusha angusha ili kadi zitolewe kwa Azam .
Acha ujinga hahahahaMauya anatolewa nje inaonekana hawezi kiendelea kwa namna alivyobebwa msobe msobe huyu ni moja kwa moja moi
Humu wengi tumetawala yanga ukiachama na muanzisha uziMimi mwenywe Yanga lkn pira bovu kweli
Huwajui Wachezaji wa Kibongo wewe....!Kwamba mauya kajiangusha, ama unaleta ushabiki tu mkuu.
Kashindwa hata kuendelea mkuu
Kweli mkuu kwa staili aliyibebwa huyu hapelekwi benchiAcha ujinga hahahaha
Safi sana mkuu kwa updates..Dakika ya 72 bado matokeo ni bila bila
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wale wanamkimbia simba kijanjaMpira mbaya sana unaumiza hadi macho, hata mtu akifunga anakuwa kabahatisha tu