FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

Ni Kama Wachezaji wa Utopolo Wamegundua weakness ya Refa kuwapendelea...hivyo Wanajiangusha angusha ili kadi zitolewe kwa Azam .
 
Mpira umwsimama....Zawadi mauya yuko chini akiendelea kupatiwa matibabu
 
Mpaka saizi sijamuona kugusa mpira
Kwani anacheza nafasi ya beki? Wewe unaona kabisa wachezaji wa Yanga wanajikanyaga kanyaga tu wanaacha mipira. Unategemea mpira utafikaje mbele?
 
Ni Kama Wachezaji wa Utopolo Wamegundua weakness ya Refa kuwapendelea...hivyo Wanajiangusha angusha ili kadi zitolewe kwa Azam .
Kwamba mauya kajiangusha, ama unaleta ushabiki tu mkuu.

Kashindwa hata kuendelea mkuu
 
Mauya anatolewa nje inaonekana hawezi kiendelea kwa namna alivyobebwa msobe msobe huyu ni moja kwa moja moi
 
Back
Top Bottom