FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

🤣🤣 sipendi kukucheka rafiki yangu lakini am sorry.
Pole sana ndio mpira huo usitukana.

Azam kanibebea my wangu jamani daah inaniuma sana.
Hahahàaa. Hamna ndo mpira huo hamna jinsi tena. Tunaganga ya saa mbili kushabikia timu yangu ya Utotoni Namungo. Teh teh

Nilitaka ila sikutukana rafiki. 😅😅😅
 
Back
Top Bottom