Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora wangeacha ile ileYaani huyu kipa kafanya nitake kutukana leo. 🙁🙁
Mmmxxiiieww.
Washawauzia ukwaju sasa[emoji3]Azam wakauze ukwaju, kombe tushabeba hili.
🤣🤣 sipendi kukucheka rafiki yangu lakini am sorry.Yaani huyu kipa kafanya nitake kutukana leo. 🙁🙁
Mmmxxiiieww.
Bila kumsahau mudhathir yahayaShukran za dhati ziende kwa ESPRESSO COFFEE pamoja na Scars bila kuwasahau wakali wengine wa apdates OKW BOBAN SUNZU pamoja na Ghazwat
Hakika maana yeye amehitimisha mchakato huu wote.Bila kumsahau mudhathir yahaya
Mmekumiss pia my dear. Tutakutana NBC Premier League au ASFC.Nimekumis Yaani Ila Mtani Umeamua Kunikimbia Fainali
Kwa vile mwiko haupo hapo nyuma itabidi walale. Si unajua tena mambo ya Zanzibar lazima wapate urojo sheikh.Kwa hiyo Yanga watakuja na boti ya asubuhi au watapanda hakuna kulala?
Ingekuwa afadhali.bora wangeacha ile ile
Wamejitahidi kukwepa. Wamefanikiwa.Yanga maombi yao ya kuomba usiku na mchana kutokutana na simba yamejibiwa ..kongole kwao.
Muda amegoma kuniachia My WanguShukran za dhati ziende kwa ESPRESSO COFFEE pamoja na Scars bila kuwasahau wakali wengine wa apdates OKW BOBAN SUNZU pamoja na Ghazwat
Azam wametukosea sana wamrudishe my wangu jamani daah 🤣🤣Kwa hiyo Yanga watakuja na boti ya asubuhi au watapanda hakuna kulala?
mtani umechanganyikiwa bila shaka. Hazima ndio niniMmekumiss pia my dear. Tutakutana NBC Premier League au ASFC.
Hahahaaa. Penalti hazima mwenyewe Mtani.
Hahahàaa. Hamna ndo mpira huo hamna jinsi tena. Tunaganga ya saa mbili kushabikia timu yangu ya Utotoni Namungo. Teh teh🤣🤣 sipendi kukucheka rafiki yangu lakini am sorry.
Pole sana ndio mpira huo usitukana.
Azam kanibebea my wangu jamani daah inaniuma sana.