Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau kuw wapigaji nao hawakuwa wazembeeYe ndo kasababisha tukafika hadi mpigaji wa tisa. [emoji854]
Angekuwa mzuri ndani ya zile tano tu tungekuwa tumemaliza mchezo.
Manara alisema atafanya kazi yanga kama punda kuhakikisha ushindi unaenda jangwani, ila bahati mbaya hakufafanua ushindi ganiKwa vile mwiko haupo hapo nyuma itabidi walale. Si unajua tena mambo ya Zanzibar lazima wapate urojo sheikh.
Pole mtani wangu. Tutakutana Lupaso hapo umejitahidi kukwepa🤣Ingekuwa afadhali.
Hahahaaaa. Kwa kweeli. 💃💃💃mtani umechanganyikiwa bila shaka. Hazima ndio nini
Eti timu yako ya utotoni umeanza tayari kutusagia kunguni eeh. 🤣🤣Hahahàaa. Hamna ndo mpira huo hamna jinsi tena. Tunaganga ya saa mbili kushabikia timu yangu ya Utotoni Namungo. Teh teh
Nilitaka ila sikutukana rafiki. 😅😅😅
Hakuna mshindi wa tatu nasi tujifungishe tuwafuate? Hawawezi kutukimbia kirahisi namna hiiWamejitahidi kukwepa. Wamefanikiwa.
Siyo ng'ombe hawa ni nyumbu kabisaHatimae wametukimbia ng'ombe hawa
Hata Yanga Princes imepokea kipigo cha mbwa koko. Kukimbia ilikuwa lazima maana yangewakuta ya wasichana waoManara alisema atafanya kazi yanga kama punda kuhakikisha ushindi unaenda jangwani, ila bahati mbaya hakufafanua ushindi gani
Maana kuna hadi sabuni zinaitwa ushindi
Uwezo huo atoe wapi sasa?Inamaana Mayele ameshindwa kuwafunga Azam?