FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

Kwa vile mwiko haupo hapo nyuma itabidi walale. Si unajua tena mambo ya Zanzibar lazima wapate urojo sheikh.
Manara alisema atafanya kazi yanga kama punda kuhakikisha ushindi unaenda jangwani, ila bahati mbaya hakufafanua ushindi gani

Maana kuna hadi sabuni zinaitwa ushindi
 
Yanga princess nao washapigika huko na mashosti zao, hawa mabasha zao ndo wanafikiria wanarudije mjini?
 
Cha ajabu lile kombe munaloliitaga la mbuzi watani munaombea muende fainali. 🤣🤣🤣

#Duniahaijawahiishamaajabu.
 
Hahahàaa. Hamna ndo mpira huo hamna jinsi tena. Tunaganga ya saa mbili kushabikia timu yangu ya Utotoni Namungo. Teh teh

Nilitaka ila sikutukana rafiki. 😅😅😅
Eti timu yako ya utotoni umeanza tayari kutusagia kunguni eeh. 🤣🤣

Basi Leo mtalia mara mbili mbona.
 
Manara alisema atafanya kazi yanga kama punda kuhakikisha ushindi unaenda jangwani, ila bahati mbaya hakufafanua ushindi gani

Maana kuna hadi sabuni zinaitwa ushindi
Hata Yanga Princes imepokea kipigo cha mbwa koko. Kukimbia ilikuwa lazima maana yangewakuta ya wasichana wao
 
Uto kama uto
IMG-20220110-WA0047.jpg
 
Back
Top Bottom