FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

Nimekuwa sana kwenye hili jukwaa la soka.
Sasa kuna wadau wanaanzisha uzi mwisho wa siku hawatendi haki. Unakuta hakuna updates wanazotoa, content zinakuwa na error kibao.

cc Vincenzo Jr huyu mwamba anajua game yetu na Singida Fountain Gate ilivyokuwa
Achana na mbumbumbu wewe chapa kazi..
Mimbumbumbu imebakia na kiroho papu na roho mkunjo haina furaha.
 
Ngoja tumalize mechi zetu tubebe Kombe. Makolo waache waendelee kujipikilishapikilisha wakidhani kuwa na viporo vingi ni ujanja.
 
Mkuu lini tumeijadili kolozidad kwani sisi ndio mashabiki wa hiyo timu sisi ni Yanga SC Mkuu
Na Freddy huwa mnampondea nini?

Najua Freddy ameshawakata kilimilimi baada ya kuwachambua mabeki wa 🐸🐸kisha akamtungua Diarra 😂😂

Endeleeni kusema sasa kuwa Simba ni mbovu.
 
Back
Top Bottom