FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

Yanga msinifadhaishe moyo tena kama mlivyonifadhaisha mbele ya Azam
 
KUna siku niliwaambia watu kipindi kile cha mambo ya Mamelodi pacome haumwi wakanikatalia!!!
Nikaja nikasema tena aliporudi Yao yao wakabisha saizi kila mtu anashtukia mchongo!! Wacheze kina Aucho sembuse yeye ilihali wakina Yao wamerudi
Hatukatai aliumia sana ila angekua ameshaanza hata kutokea benchi kimyaaa
Kwahiyo Pacome kama haumwi kuna nini kinachoendelea?
 
Back
Top Bottom