FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

Huyu goalkeepr wa coast walimtoa wapi ambako simba hawakumuona?.Jamaa yuko vizuri sana.Ata wakifungwa kaonyesha uwezo mkubwa sana.Huyo jamaa nasikia ni mkongwe ila kawazidi kiwango magolikipa wengi tulionao simba.Ayoub alitakiwa apate msaidizi wa level hizo.Coastal nawatakiwa ushindi mnono.msiniangushe.
 
Simba haina tatizo la goalkeeper. Halafu si jambo jema kumuangalia mchezaji katika mechi chache na kutoa conclusion
 
Na Freddy huwa mnampondea nini?

Najua Freddy ameshawakata kilimilimi baada ya kuwachambua mabeki wa 🐸🐸kisha akamtungua Diarra 😂😂

Endeleeni kusema sasa kuwa Simba ni mbovu.
IMG-20240410-WA0160.jpg
 
Back
Top Bottom