Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Dah ,uyu kipa yupo vizuri,man of the match leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika ya ngapi huko ? maana uzi umepoa huuJamaa wamepark bus,wamekuja kuzuia tu Leo,hawana shida ya kufunga
Machare yamewacheza wsmechagua kusoma comments tu 😂😂Dakika ya ngapi huko mbona uto wapo kimya humu ?
Aliyeanzisha uzi naye kasepa.Dakika ya ngapi huko ? maana uzi umepoa huu
Kama wanaaga maiti wanapitia mbaliMachare yamewacheza wsmechagua kusoma comments tu 😂😂
La ngapi hilo?Gooooaaal
Gamondi?Jamaa wamepark bus,wamekuja kuzuia tu Leo,hawana shida ya kufunga
Goal kickGooooaaal
Limekataliwa kama Lile la pale PretoriaLa ngapi hilo?
Dakika ya ngapi?Limekataliwa kama Lile la pale Pretoria
65 bila bilaDakika ya ngapi huko ? maana uzi umepoa huu
Kama wanaaga maiti wanapitia mbali
Goli lipo, subiri uone.Nimeanza kuona dalili za kufedheheshwa hapa; Yanga leo tena itanifadhaisha kwa kukosa ushindi
Lipo kwa timu ipi?Goli lipo, subiri uone.