FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

Achana na mbumbumbu wewe chapa kazi..
Mimbumbumbu imebakia na kiroho papu na roho mkunjo haina furaha.
 
Ngoja tumalize mechi zetu tubebe Kombe. Makolo waache waendelee kujipikilishapikilisha wakidhani kuwa na viporo vingi ni ujanja.
 
Mkuu lini tumeijadili kolozidad kwani sisi ndio mashabiki wa hiyo timu sisi ni Yanga SC Mkuu
Na Freddy huwa mnampondea nini?

Najua Freddy ameshawakata kilimilimi baada ya kuwachambua mabeki wa 🐸🐸kisha akamtungua Diarra 😂😂

Endeleeni kusema sasa kuwa Simba ni mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…