Yanga wameogopa nini mpaka kuanza na mabeki watatu nyuma
Lazima tu kuna kitu wanaogopa watatueleza vizuri baadae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wameogopa nini mpaka kuanza na mabeki watatu nyuma
Mzee dakik ya 30 mda bado upo waku recoverYanga wana nafasi ya kufunga mabao mengine zaidi
Hata off target hamna mkuuSimba hatuna hata shot in target duuh
Sure thing mzee, sema mbele bado hawajatuliaYanga wana nafasi ya kufunga mabao mengine zaidi
Offtarget tunayo banaHata off target hamna mkuu
Mpira bado sana mzee! Na usisahau hii ni derby hivyo lolote linaweza kutokea! Sema tu Mwalimu wa Yanga amepanga kikosi ambacho si rafiki sana kwa mfumo wa simba!Yanga wana nafasi ya kufunga mabao mengine zaidi
Ikiwa tutaendelea na huyu mspain basi hakuna kitakachobadilika hata tusajili kila aina ya mchezaji hapa Africa.Wachezaji wa Simba hakika wanaidhalilisha sana Simba hawa! F**n
Sawa mita 35Manula aliwaza mbali sana! Kajikata na kioo makusudi ili aondokane na feheha ya aina hii! What a goal!!! Umbali wa mita 30 na ushee!!!
iMleeteeni kabisa Mabegi yake kocha Pablo
Anafungwaje na Mvua imeshanyesha. Kumbe ndio maana Yanga waliamua kutoa list ya kikosi kinachoanza leo saa 6
Jiongelesheni tuKwa pira hili la uto,Simba atafungwa si chini ya bao 3.
Azam mbona wameandika 0Kama mwamuzi angekuwa fair...Tadeo Lwanga alipaswa tayari awe na kadi ya njano