FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

Mpira bado sana mzee! Na usisahau hii ni derby hivyo lolote linaweza kutokea! Sema tu Mwalimu wa Yanga amepanga kikosi ambacho si rafiki sana kwa mfumo wa simba!
Yanga wana kasi afu hata mipira wakipoteza huwa hawaipati kwa kukaba ni simba wenyewe wanapasia wachezaji wa yanga hawana utulivu yani

Hii mechi mnakila sababu ya kushinda labda kama simba watabadilika kipindi cha pili ila nayaona makosa mengi sana
 
Na msimu ujao simba irudie makosa yake kwa kusajili wachezaji wa kuwa kuza badala ya kusajili wachezaji wakali wenye ushindani kwenye mechi ngumu kama hizi
 
.
20220528_160138.jpg
 
Mugalu kapiga header lakini diara kaunyaka
 
Na msimu ujao simba irudie makosa yake kwa kusajili wachezaji wa kuwa kuza badala ya kusajili wachezaji wakali wenye ushindani kwenye mechi ngumu kama hizi
Huu msimu cjui waliingiwa na kitu gani kutusajilia hivi
 
Back
Top Bottom