FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

2+

Kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza
 
Mwamuzi Arajiga amekuwa na makosa mengi mengi sana, sijui nani alimchagua kuchezesha mechi hii
 
Lile goli la Fei wa kulaumiwa ni uhamiaji japo mtasema Benno kala hela, tuna wakumbusha tu juzi Manula nae aliula mua wa Balama kama huu wa Fei.
 
Aise naona hapa kama tayari tulishawapakata hawa simba.....maana hawaelewani kabisa huku mbele sio kibu sio mugalu.

Leo kocha wa yanga kanipa raha yaani hawa simba nikushambulia upande wa half iron half man tuu
 
IMG_9972.jpg

Mwanayanga kosa asubiri mechi iishe yeye kaanza sherehe kipindi cha kwanza
 
Profesa na Msaidizi wako Kaze, chonde chonde! Wenye sifa ya kuingia sub kwenye hii mechi ni wachezaji watatu tu; Golikipa Mshery iwapo golikipa namba moja atashindwa kuendelea, Farid Mussa, na Zawadi Mauya pekee!

Moloko, Kaseke, Nkane, na Ngushi kwa mechi hii hapana! Mkifanya sub za mihemko, hawa viumbe watabadilika na kutushambulia mfululizo. Kiufupi leo tumewakamata.
 
Back
Top Bottom