FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

Aliyesajili hiki kikosi cha Simba ya msimu huu atalipa tu hii dhambi. Anasababisha bia hazinasi kabisa.
MO kwa sehemu kubwa amekuwa anaingilia usajili, kwa sasa kawa pembeni mnaona kinachotokea, Try Again ataondoka na MO atarudi tena na Simba itaendelea shinda.
 
Kazi ipi? Ya kucheza faulo za wazi na kuachwa na refa? Mchezaji kama Tadeo kama unataka kufika mbali michuano ya Afrika HAFAI
kama sio kazi aliyoipiga hapo kukabiliana na viungo kamilifu wa yanga simba angeshakula goli zakutosha hadi sasa.Ata uko Afrika unakosema itategemea uko na kikosi gani na presha ya mchezo ikoje.Hiyo namba sio yakuchukulia kirahis rahisi kwavile tu unaona timu iko uwanjani.
 
Mzee hakuna lawama

Majeruhi kibao
Tunachelewa kuchange game plan, viungo wengi wa Yanga wametudhibiti. Yanga wamejaza viungo na double triker huku sisi tukiwa na viungo watatu tu. Tunachelewa kubadili mbinu kwa wakati.

Mara nyingi Pablo anachelewa kufanya sub au kubadili mchezo. Hii game kama tukishindwa ku switch within 15minutes biashara imeisha. Mfano tunakosa transition ya maana tukiwa na mpira maana Lwanga ni mzito .
 
kama sio kazi aliyoipiga hapo kukabiliana na viungo kamilifu wa yanga simba angeshakula goli zakutosha hadi sasa.Ata uko Afrika unakosema itategemea uko na kikosi gani na presha ya mchezo ikoje.Hiyo namba sio yakuchukulia kirahis rahisi kwavile tu unaona timu iko uwanjani.
Mchezaji wako katolewa hana kitu cha maana alichocheza
 
Back
Top Bottom