Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #341
55' Beno anazuia vizuri shuti la Mayele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukijua wewe inatoshaWewe jamaa hujui mpira kumbe.katoka kwasababu kocha kabadilisha uchezaji.
TZ nzima ina hamu ya kutetema Leo 😂Either mpira uishe au mayele atupie la pili watu wateteme😂😂😂😂😂😂
Bila goli ni kazi bureKipindi cha pili Simba wameongeza utulivu walau wanaoenekana wanavyocheza
Ni kweli, lakini huwa tunauangalia mchezo katika nyanja mbalimbaliBila goli ni kazi bure
Tulia bby mpira tuu huu....wacha tulipoze miaka minne ya mateso....unakunywa soda gani nikununulie🤣🤣🤣🤣[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]naomba uniache.
NakaziaBila goli ni kazi bure