Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Amekosa goli la pili la wazi kabisa! Kuto kujiamini kumemuathiri sana. Ndoja tuone na Ngushi naye atafanya nini.64' Makambo anapiga kichwa yeye na kipa anapeleka nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekosa goli la pili la wazi kabisa! Kuto kujiamini kumemuathiri sana. Ndoja tuone na Ngushi naye atafanya nini.64' Makambo anapiga kichwa yeye na kipa anapeleka nje
Mbona walala mapema?Muwe na usiku mwema wapendwa[emoji1545]
1_____nimebet[emoji24]Mbona walala mapema?
Sawa vizuri ngoja nikuongezee nyingineNakunywa hapa mirinda nyeusi
Zimbwe anapiga moja kwa moja kwa DiarraSimba wanapata faulo nje ya 18 ya Yanga
OngezaSawa vizuri ngoja nikuongezee nyingine
Nataka nilaleSawa vizuri ngoja nikuongezee nyingine
Dada una roho ngumu zaidi ya jiwe😬😬
Inatia hasira yaniTimu
Timu inacheza hovyo kama Ndondo cup
Kisa kipigo cha yanga 🤣🤣🤣🤣Nataka nilale