FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

Hadi sasa refa kachezesha vizuri.Hii mechi ni kubwa usifikiri ni rahisi kudhibiti presha ya mechi kubwa kama hii.kipindi cha kwanza nampa 7/10.
Kwa mawazo kama haya ndio maana waamuzi wetu hawachaguliwi kuchezesha nje
 
Aise naona hapa kama tayari tulishawapakata hawa simba.....maana hawaelewani kabisa huku mbele sio kibu sio mugalu.

Leo kocha wa yanga kanipa raha yaani hawa simba nikushambulia upande wa half iron half man tuu
Mpira bado haujaisha dogo kaa kimya[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Pale rudisha Mzamiru kiungo then Larry Bwalya aingie toa Lwanga. Hakuna sub nyingine unaweza kufanya labda Kagere kidogo. Hii timu hata tukishinda leo wapo wa kubebeshwa lawama.
Labda ushinde njaa,msimu huu Yanga akikutangulia kipindi cha kwanza ujue ndio ushakufa tayari. Match zote alizishinda Yanga msimu huu matokeo aliyapata first half.
 
Good game plan kwa Nabi kwa kuweka double striker ila tatizo ni Makambo ni mzigo usiobebeka. Hapaswi kubakia jangwani huyu
 
Back
Top Bottom